SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

TUNA TATIZO LA KUJUA MUDA
Fashion Cop

TUNA TATIZO LA KUJUA MUDA 

Katika kuchagua mitoko ya mahala popote kuna vitu muhimu viwili vya kujua ili kuweza kukusaidia utokeje. Vitu hivyo ni

1)muda wa tukio – huwezi kuvaa ming’ao mchana na wala huwezi kuvaa ma jeans usiku,

2) Eneo – Tukio lina fanyika wapi maana kuna matukio yana fanyika beach huwezi kwenda ume vaa maguo ma reefu

Kwetu wa Tanzania inaonekana bado tuna tatizo katika muda na kwanini tuna sema hivi kuna tukio la Malkia wa Nguvu ambalo lilifanyika Weekend iliyo pita watu maarufu, wasanii na wanawake waliopo katika kila sekta walijumuika katika hafla hio lakini kati ya hao wengi wengi walionekana kuto kujua nini wavae wakati gani na mmoja wapo akiwa presenter wa Take One kutoka clouds Tv Zamaradi Mketema.

Zama alionekana akiwa amevalia a backless floral dress katika red carpet ya mchana hii ika tufanya tuseme real now Zamaradi Real?

Haikua mbaya alipendeza mno lakini tatizo tu ni kwenda na muda tuna dhani hili gauni linge valiwa usiku linge leta mantiki zaidi kuliko kulivaa mchana

Angevaa tu simple ila akapendeza just like Jokate Mwegelo

Ya kwetu sisi ni hayo tu ni matumaini yetu mmejifunza kuhusu kuchagua vazi kutokana na muda na eneo unalo enda

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

 

 

Related posts

2 Comments

  1. ufabet

    … [Trackback]

    […] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tuna-tatizo-la-kujua-muda/ […]

  2. hkusa

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/tuna-tatizo-la-kujua-muda/ […]

Leave a Reply