SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Vanessa Mdee Na Linah Wamevaa Gucci Fanny Pack Yenye Thamani Ya 2,420,000ml
Fashion Cop

Vanessa Mdee Na Linah Wamevaa Gucci Fanny Pack Yenye Thamani Ya 2,420,000ml 

Wanasema “vunja mfupa kama meno ipo”, kama unacho unacho kipenda basi uta gharamika kukipata hii imetokea kwa wanamuziki wawili wa kike kutoka Tanzania ambao ni Vanessa Mdee A.K.A Vee Money na Linah Sanga A.K.A ndege mnana, wawili hawa wamekuwa spotted wakiwa wamebeba Gucci Fanny Pack ambayo inauzwa $ 1,100/- sawa na Tzs 2,420,000/- za ki Tanzania but the real question is je ni original ou fake?

Kumekuwa na lundo la wasanii wanao vaa vitu fake wakidhani ni original na wale wanao vaa fake wakijua ni fake lakini wakituaminisha kwamba ni original, Its so hard to spot fake from real these  days maana zinatengenezwa vizuri bila kujua na wengi hutumia herufi CG au EG badala ya GG ambayo ina simama kama Gucci.

Linah alibeba Kipochi hiki huku akiwa amevalia a graphic tee yenye rangi nyeupe na nyekundu kwa mbali, huku chini akiwa amevaa na suruali nyekundu, well pochi hii ya Linah ni Ile class A fake zile ambazo unaweza husi notice kama fake, lakini ukiiangalia vizuri touchs za leather yake zinaonekana zime tuna kuliko zile za real Gucci na leather yake sio nzuri kivile.

Kwa Vanessa Mdee yake yeye ni Fake Fake Gucci, hii ni ile yenye CG na sio GG kama ukiizoom vizuri unaweza kuona yenyewe leather yake inafanana na real Gucci ambacho kinakufanya ujue si yenyewe ni CG

Unapo taka kununua Gucci Original angalia Logo zake lakini pia kuna vitu vingi vya kuangalia kama

  • Review the details on the tag imekuwa made from where Gucci bag zinakuwa made in Italy.
  • angalia material Gucci handbag zinatengenezwa katumia finest materials iwe –leather, suedes patent leather, na canvas. pia material ina bidi iwe soft na supple unapo gusa.
  • Gucci does not wrap their handbags in plastic.

Related posts