SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WASAFI WALIKURUPUKA
Fashion Cop

WASAFI WALIKURUPUKA 

Kulikua na hafla ya Binarybac ambapo watu maarufu wengi wali hudhuria including wasanii kutoka label ya wasafi nao walikuepo, wasafi walionekana kutokua na information kuhusu party hio, ni kama  wali pata taarifa late  wakiwa hawaja jiandaa ama wali kurupushwa, hatuna uhakika  kama wali mshirikisha stylist wao ama wali jiamulia wenyewe.

13696818_1067655129938753_582250513_n

a. Harmonize alionekana kama alikua ame toka kwenye mihangaiko yake alivo ambiwa kuna hafla aka tupia tu koti as wakati yupo kwenye shughuli zake alivaa tu singlend, trouser na gold shoes, on top of that mlege haukua mahala pake
b. Same applies to Diamond a.k.a simba
c. Raymond the suit was perfect until he debuted the new hairdo na air mark shoes

Tume waona wasafi katika Hafla nyingi wame pendeza ila hii haikua our favorite look.

Related posts

3 Comments

  1. download youtube videos online

    … [Trackback]

    […] Read More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasafi-walikurupuka/ […]

  2. roof skylight

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasafi-walikurupuka/ […]

  3. buy golden teacher magic mushrooms online Michigan

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasafi-walikurupuka/ […]

Leave a Reply