Kama ambavyo wanawake wanapenda kujiremba siku hizi tunaona wanaume nao wanakuja kwa kasi katika kujiweka smart. Well tunaona kwao kwa sasa hii style ya kuweka black kwenye nywele ndio imeshika kasi, kila msanii wa kiume anaweka black kichwani, kitu ambacho sio dhambi lakini ugomvi wetu sisi na huyu anaewaweka black ni upitilizaji wa matumizi ya urembo huu.
Tunaweza kusema hii ni new wrong installment of wigs lakini kwa upande wa wanaume sasa imekuwa black, imekuwa ikiwekwa nyingi mpaka wanapoteza uasilia wa nywele na saa nyingine inazidi na kutokeza mpaka kwenye ngozi. Kwetu hii ni dhambi ya fashion, kama ni black basi iwekwe kwa kiwango kupendezesha na si kupoteza uasilia.
Well Afromates Tupeni maoni yenu katika hili swala.
Related posts
6 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 15203 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wasanii-wa-kiume-na-upofu-wao-katika-black-kwenye-nywele/ […]