Kuna ile tabia kila mtu anayo kuna kitu ambacho huwa una kipenda sana eidha mkoba, kiatu au hata urembo. Hii hutokana na sababu mbali mbali labda kwa sababu ulinunuliwa au ulinunua ukiwa katika hali fulani, husababisha ukivae mara kwa mara na hawa ni baadhi tu ya watu maarufu ambao tumeona wana mapenzi katika hivi vitu.
Elizabeth Michael na mkoba wake wa njano, ana beba mikoba mingi lakini huu wa njano ameonekana nao mara nyingi zaidi.
Hamisa Mobbeto na hivi viatu,
Jacqueline Wolper na hii miwani yake
Rio The Stylist na hili koti lake
Idris Sultani Na Hili koti lake
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] There you can find 45344 additional Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/watu-maarufu-na-mapenzi-yao-kwa-baadhi-ya-vitu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/watu-maarufu-na-mapenzi-yao-kwa-baadhi-ya-vitu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/watu-maarufu-na-mapenzi-yao-kwa-baadhi-ya-vitu/ […]