Hatukuwa/bado si wapenzi wa mionekano ya baadhi ya rapper wa kike hapa Tanzania wengi wana jiweka rafu kiume wakisema ni hip hop ambapo kwetu tunakataa kuna wasanii wa kike na wakiume wengi wanao vaa vizuri na bado wana fanya hip hop tulilalamikia hili (unaweza kusoma hapa) na tunaona wanaanza kuchukua hatua, Tuna furahi kwa hilo. Hizi karibuni tumeona rapper wa kike chemical akiwa amevaa kike, kapaka make up lakini pia amevaa wig, Chemical we love you for this.
Kitu ambacho kime tusikitisha tunajua unachukua hatua lakini tunge furahi zaidi kama ungeshirikisha ma stylist au wabunifu kama wengine walivyo fanya kama Nawal, ni kweli ume break internet maana page nyingi zilikupost lakini wengi walionekana na hata sisi hatuja furahia huu muonekano nywele hazija chanwa vizuri, mavazi hayaja kukaa vyema hayana mpangilio lakini hizi zinaitwa baby steps ni matumaini yetu tukikuona tena utakuwa better than sasa hivi.
Tupe maoni yako kuhusu muonekano huu mpya wa Chemical
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 50366 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-buzz-rapper-chemical-na-muonekano-wake-mpya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-buzz-rapper-chemical-na-muonekano-wake-mpya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-buzz-rapper-chemical-na-muonekano-wake-mpya/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 63106 more Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-buzz-rapper-chemical-na-muonekano-wake-mpya/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-buzz-rapper-chemical-na-muonekano-wake-mpya/ […]