SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

weekend Highlight: Zari & Diamond “Bae Cation”
Fashion Cop

weekend Highlight: Zari & Diamond “Bae Cation” 

weekend hii habari ilikua mwanamuziki Diamond na mpenzi wake ambae ni mjasiriamali kutoka Uganda Zarina Hassan a.k.a Zari the boss lady wakiwa katika bae cation, sote tunajua Zari amefiwa na mama yake mzazi hivi karibuni Diamond amechukua hii nafasi kumtoa kidogo apate kutokufikiria sana, well sisi macho yetu yalikuwa kwenye mitoko ya huko,

siku ya kwanza walivaa match match outfit, ambapo diamond alivaa blue shirt ya mikono mifupi, pant,slides, socks, ame accessories na miwani,hereni, mikufu na pete ambazo tungependa kama angezipumzisha maana za nini sasa beach?

 

 

Zari yeye alivaa blue pleated dress ambayo haikua fupi sana wala ndefu, ame accessorize na miwani, saa na bracelet well labda zilikua za kupigia oicha tu halafu waka zitoa all in all tumeipenda hii look

 

 

 

Siku ya pili Zarina alivaa gauni jeupe ambalo linaonyesha cleavage tumependa the dress pia so calm

Diamond alivaa hizi tracksuits ambazo zime tushangaza kidogo bae cation na full tracksuit tena akafunga na zip mpaka juu? we beg anhem

Kwa siku ya pili hii hii usiku walivaa black na tumependa mno Diamond alikua ana perform Nairobi, Zari alipendeza na hili gauni lake japo tulipenda kumuona in something short as ni club na sio dinner part au red carpet all in all wamependeza

tupe maoni yako kuhusu mionekano yao kupitia mitandao yetu ya kijamii (kusoma kuhusu vocation nyingine ya Diamond na Zari bonyeza hapa)

Related posts

3 Comments

  1. สล็อตวอเลท ไม่มีขั้นต่ำ

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-highlight-zari-diamond-bae-cation/ […]

  2. usdt지갑

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-highlight-zari-diamond-bae-cation/ […]

  3. 무료 다시보기

    … [Trackback]

    […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-highlight-zari-diamond-bae-cation/ […]

Leave a Reply