SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WEEKEND HIGHLIGHTS – HARMO NIGHT TOUR
Fashion Cop

WEEKEND HIGHLIGHTS – HARMO NIGHT TOUR 

Kilicho trend mitandaoni wiki hii ni haya mavazi ya auntie Ezekiel, Harmonize na Shilole katika tour ya harmonize huko mtwara, tuna weza kusema wasanii wetu bado wapo nyuma sana kimavazi na hakuna mtu wa kum-blame than wasanii wenyewe kwetu sisi tuna dhani unapo ipenda kazi yako na kuiheshimu utatafuta kila namna ya kuiboresha kila siku na si tu kufanyia mazoezi sauti yako au namna ya kucheza ukiwa kwenye stage bali pia muonekano wako haya mavazi Harmonize, Shilole na Auntie wame vaa hata mtu tu wa kawaida hawezi kuvaa

siku ya kwanza ya tour walivaa hivi, una weza kuona nywele za Shilole na Auntie hazijakaa vizuri, mavazi hayana mpangilio mzuri. Mwenye show alichagua kuvaa pink kitu ambacho si kibaya lakini rangi tayari ina shout alitakiwa kwingine awe plain tu lakini akaongezea mtandio wa pink which ruined the whole outfit

Hii siku ya pili Auntie alivaa hii skirt ya njano na lace blouse (hatuna uhakika) na fishnet napo alienda kushoto kabisa

Kama tour ilipangwa tuna uhakika kulikua na muda mrefu tu wa kujiandaa kimavazi unless otherwise watu watakuwa wanakuja kwenye show kuangilia vituko vya mavazi na si kuenjoy mziki mzuri.

Tupe maoni yako kupitia

Instagram – afroswagga

Facebook – afroswaggamag

Twitter – afroswaggatz

Related posts

1 Comment

  1. navigate to these guys

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/weekend-highlights-harmo-night-tour/ […]

Leave a Reply