Wema Sepetu na rafiki yake Aunty Ezekiel wameonekana wakiwa wame valia sare sare katika siku za ujauzito wao, ambapo gauni hili alionekana kalivaa Aunty mwaka jana kabla ya kujifungua na mwaka huu Wema ameonekana kuvalia vile Aunty alivyo valia, ikiwa wote wamelivaa hili gauni na cheni ndefu ya dhahabu huku Aunty akiwa amevalia na kofia wakati Wema amesukia rasta.

uim yhnmm

Aunty Ezekiel

sepetu wema

Wema Sepetu