Stylist machachari Noel Ndale a.k.a @noelgiotz kutoka The Stylist Studio, ambae ana style wasanii, watu maarufu mbalimbali ameonekana kustyle watu maarufu wawili na kuwavalisha gauni moja
Tulianza kuliona kwa Mwanamuziki Maua Sama katika cover ya wimbo wake main chick, ambapo alivaa hii gauni nyekundu yenye kiua na mpasuo mbele amestyle na Red Gauze Bridal Fascinator, dropped earings na red lipstick.
Akamlizia muonekano wake na nude pumps
Wakati Rose ndauka yeye ameonekana akiwa amevalia same dress na amekua styled na same stylist noel, yeye alivalia na open metallic heels, curly blonde hair
huku akiwa ame accessorize na saa na pete, amemaliza muonekano wake na simple makeup na bold red lipstick
who rocked it better?
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/when-stylist-noel-ndale-style-same-dress-to-two-different-people/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 71176 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/when-stylist-noel-ndale-style-same-dress-to-two-different-people/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 70889 additional Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/when-stylist-noel-ndale-style-same-dress-to-two-different-people/ […]
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/when-stylist-noel-ndale-style-same-dress-to-two-different-people/ […]