SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Who Rocked It Better Hamisa Mobetto Or Chioma?
Fashion Cop

Who Rocked It Better Hamisa Mobetto Or Chioma? 

We love it tunapoona watu maarufu wamevaa nguo zinazofanana, no sio kwa sababu ya kuuliza nani kavaa vyema zaidi, bali wanatupa option ya kujua namna mbalimbali ambavyo unaweza ku-style mavazi hayo. Week hii kwenye Friday Fashion Battlefield tunao fashionistas wawili, Hamisa Mobetto kutoka Tanzania Vs Chioma Goodhair kutoka Nigeria.

Wawili hawa walionekana wakiwa wamevalia hizi body hugging co-ord set, Ambapo Hamisa yeye alivalia co-ord set hizi na strap sandals, shield glasses, chandelier earrings na cross bag nyeusi, huku Chioma akiwa amevalia strap sandals alizomatch rangi na handbag akamalizia muonekano wake na bracelets pamoja na saa.

Kama kawaida inabidi tuulize nani kavaa hizi sets vyema zaidi au ingekuwa wewe ungezivaa kama nani A) Hamisa Au B) Chioma

Tuachie majibu yako katika box letu la comment hapo chini

Related posts