Kama mna kumbukumbu mwaka jana tuliongelea kuhusu hii handbag ya Gaias Ark Bamboo Handbag tulisema ni ndoto ya kila msichana, kama hukusoma bonyeza hapa kuweza kusoma,ime onekana kuwavutia fashionistas wengi akiwepo Stella uzo wa Jadore ambae mwaka jana tulisema ali pendeza sana na outfit yake na huu mkoba, lakini mwaka huu pia fashionista Doopie ameonekana kuubeba huu mkoba na ikatufanya tujiulize who rocked it better?
Doopie yeye alichagua kuvaa cold shoulder denim top, high waist pencil skirt na nude pumps
Wakati Stella yeye alivalia mkoba huu na mustard jumpsuit na kofia
Je wewe umevutiwa na mtoko wa nani zaidi, Doopie au Stella? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter – afroswaggatz
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 99329 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/who-rocked-it-better-stella-uzo-x-doopie-the-gaias-ark-bamboo-handbag/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 49831 additional Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/who-rocked-it-better-stella-uzo-x-doopie-the-gaias-ark-bamboo-handbag/ […]