SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Who Rocked This Style Your Soul Body Suit Better Between Cherie Mals, Lavidoz And Jacqueline?
Fashion Cop

Who Rocked This Style Your Soul Body Suit Better Between Cherie Mals, Lavidoz And Jacqueline? 

Style Your Soul ni brand ya mavazi kutoka Tanzania, unlike other brands za Nchini kwetu Style Your Soul ipo advanced, mavazi yake yapo kisasa na quality yake ni nzuri sana. Well tume wa spot fashionista watatu wakiwa wamevalia Style Your Soul’s body suit ambayo ndiyo mzigo mpya katika suka lao kwa sasa, ni long sleeve body suit ambayo ina buttons kwenye mikono na Style Your Soul Logo mkono wa kulia, unaweza kuona material yake ilivo nzuri na unaweza kuivaa kama top na chochote skirt,suruali, pant au hata ndani ya gauni yenye short sleeves.


Waswahili husema kizuri cha jiuza na kibaya cha jitembeza, basi hii imeonekana kwenye hii body suit imetokea kujiuza as tume spot fashionista mmoja na fashion bloggers wawili wakiwa wame rock hii body suit

Model & Makeup Artist Cherie Mals alionekana kuvaa body suit hii ikiwa na rangi nyekundu, high waist trouser nyeusi na pumps nyeusi amemalizia muonekano wake na red hair, big hoop earrings na red lipstick

Lakini Fashion Blogger Jackie M FERNWEH nae alionekana kuvutiwa na body suit hii yeye alichagua ya rangi nyeupe ambapo aliivalia na gray trouser,akiwa amemalizia muonekano wake na pochi ya gray pia ame accessorize na mirror shades na hat

 

Wakati stylist lavidoz yeye amevaa cream version ya hii body suit na blue jeans akimalizia mtoko wake na her favorite nude pumps na miwani 

Tuambie nani kakuvutia zaidi na hii body suit kutoka kwa brand ya hapa hapa Tanzania kati ya Cherie Mals, Jacqueline na Lavidoz?

Related posts

3 Comments

 1. mungus shoorms

  … [Trackback]

  […] Find More on to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/who-rocked-this-style-your-soul-body-suit-better-between-cherie-mals-lavidoz-and-jacqueline/ […]

 2. Investment

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/who-rocked-this-style-your-soul-body-suit-better-between-cherie-mals-lavidoz-and-jacqueline/ […]

 3. cartel oil 2g disposable

  … [Trackback]

  […] Here you will find 69401 additional Info to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/who-rocked-this-style-your-soul-body-suit-better-between-cherie-mals-lavidoz-and-jacqueline/ […]

Comments are closed.