Tukiwa tunaaelekeke kuumaliza mwaka 2016, tuna fanya count down ya watu wali tufuraisha na kutusikitisha katika mitindo mwaka huu, na leo tupo na wanaume walio vaa vibaya mwaka huu ikiwa tulisha fanya ya walio vaa vizuri bonye za hapa kuwajua

Leo tunaanza na wale walio zingua

 

Le Mutuz na Mkubwa Fella wana julikana kwa kazi zao, mmoja ni meneja na mwingine ni blogger mkubwa tu Tanzania Mwaka huu wameonekana kuwa ni watu walio vaa vibaya zaidi, kwanza wana vaa kuto kilingana na umri wao na pili ni kuto kujua kujipangilia15624723_196360917500958_6389971842416771072_n

WCB wame kuwa wa ajabu sana mwaka huu sijui nini tatizo, nguo hazieleweki, mpangilio mbaya na usisahau kuhusu style za nywele15625161_357085081315746_6196190975379898368_n

Fid Q

14592104_213672505741422_5180216186633191424_n