Kwenye wengi pana mengi hasa katika hii mikusanyiko ya watu maarufu kila mtu ana taka kuvunja record kwa namna yake kuna wale ambao wana taka kupendeza na kuna wale wao huwa wana endaga kushoto kabisa na kutaka kuongelewa negatively zaidi hawa ndio walio tuacha mdomo wazi  na mitoko yao katika tuzo za Grammy zilizo fanyika usiku wa kuamkia leo

 

Candy Crush alivaa hii balloon skirt na crop top pink, think amechukulia jina lake na ile game ya candy clush too serious

Rita Ora is serving faces, make up on point lakini the dress eysh no Rita no

Andra Day is taking us back to welcome to America

Jacqueline Van Bierk hakuwa na uhakika kama Dj ata play her songs so akaamua kubeba CD’s zake lol

Rose hayupo kwenye hii sayari yani yupo zake mars huko au mwenzetu kasha fika 2020 

Taraji could have done better

Charli XCX we are not fans of the dress juu ipo vizuri lakini magotini kushuka chini nah