SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

WORST DRESSED TANZANIAN  WOMEN 2016
Fashion Cop

WORST DRESSED TANZANIAN WOMEN 2016 

Baada ya kuona best & worse dressesd Tanzania men 2016 sasa tuna rudi kwa upande wa Kina dada, na tunaanza na wale ambao mwaka huu wame haribu haukua mzuri kwao

1) Shilole – Shilole tunajua ana weza kufanya vizuri katika mavazi ila tu kuna saa ana makusudi yake, kuna style zake huwa hatuelewi ana zitoaga wapi kwa sababu hio ame shika namba moja

15538493_213606519088077_4573683202899574784_n

2)Snura – Snura ana sura na ana mwili lakini haja jijulia tu avae ni nini na sehemu gani avae vazi lake tuna tamani kuona ame badilika mwakani kama celeb una takiwa ku wow more than ku disappoint

14515705_818385171636991_1382886337241153536_n 14583546_1629564717336173_7732393944142577664_n

3)Sauda Mwilima – huyu dada ni m Tangazaji na miaka yote yupo hivi hivi tu, miaka inaenda na mambo yana badilika Sauda tafadhali jaribu ku keep up na fashion na kitu kizuri kuhusu wewe huzeeki

14712064_1818321058451608_1327513067650547712_n 15624044_1732074110452912_4261987526329237504_n

4) Chemical – tunatamani tu abadirike tuone side nyingine ya kwake huu mwaka hajawa kama celeb amekuwa tu kama sisi wacheza singeli wengine

15534867_362138710828217_3880017848264818688_n 15625494_221537331589233_8995843910966181888_n

5)Diva – Tuna tamani lile neno lake la levels angekuwa ana liweka katika mavazi pia, maana huu mwaka ame disappoint sana upande huu

14714694_1782190865357144_3752907913182576640_n 14733267_204109286699671_6615646342024790016_n

6)Diana Luqumay – miss Tanzania 2016, Diana ana kila kitu mwili, sura, urefu, confidence hatujui tatizo ni nini linapo kuja swala la kuvaa

15305989_202942306779075_6725641768735342592_n

7) Ruckybeby – mwanamuziki na ana onekana kupenda mitindo tatizo tu hajajua kuji style 2017 do better mamy

14547557_1161688593917951_4908295643845361664_n 15623657_101693783668096_3924190775155359744_n8) mrs mziwanda –  anaitwa Nawal ni mke wa Nuhu Mziwanda, huyu msichana ana hitaji tu stylist basi, kuna muda huwa tunatamani tunge kuwa na mwili na sura yake maana tusinge kamatika huko mitaani na mitindo yetu

14624352_340153986359206_7014162630705152000_n 15035778_1688887431423066_2587417298453135360_n

9) Witness – Witness utatafuta picha yake aliyo vaa vizuri huu mwaka wote na husi ipate

14582499_1883790751907634_753714396206727168_n 15623838_363681084008806_5995042332464906240_n

10) Aunty Ezekiel – japo ana jaribu ku push through aunty bado hajajipatia

15623866_364813180559180_917719165513498624_n

 

 

 

 

 

Related posts