SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Wrong Choice Of Fabric Means Wrong Outfit
Fashion Cop

Wrong Choice Of Fabric Means Wrong Outfit 

Kwambunifu au fashionista swala la uchaguzi wa kitambaa linajulikana ni muhimu sana, tukiongelea kitambaa ndio msingi mkubwa wa ubunifu au vazi lako hata kabla ya designing. Unaweza kuwa na design nzuri lakini endapo tu kitambaa kitakuwa hakiendani na design yako basi lazima design nzima itaharibika.

Tumeona hii outfit kutoka kwa Linah Sanga ambayo amevalishwa na mbunifu Allie_Clothings, Allie ni mbunifu mzuri sana na tumeona amewavalisha watu maarufu kadhaa na kutumia fabric nzuri wakapendeza, lakini pia kama binadamu wengine kunakukosea. Na hapa leo tunaona kwamba Allie alichagua fabric ambayo sio nzuri kwa design yake, inawezekana alikosa material nzuri au labda hii ndio ilikuwa choice ya mteja, vyovyote vile the fabric ruined the whole design.

Unaweza kuona tofauti ya fabric katika hizi nguo mbili na namna ambavyo moja imekaa vyema kuliko nyingine lakini pia choice ya rangi na viatu, tunadhani next time ni vyema kutilia maanani kwenye vitu vyote hivi.

Related posts

4 Comments

  1. แทงบอลออนไลน์

    … [Trackback]

    […] Here you will find 67181 additional Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wrong-choice-of-fabric-means-wrong-outfit/ […]

  2. Where to Buy Changa DMT online New South Wales

    … [Trackback]

    […] There you can find 65139 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wrong-choice-of-fabric-means-wrong-outfit/ […]

  3. furbabiesbakerytx

    … [Trackback]

    […] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wrong-choice-of-fabric-means-wrong-outfit/ […]

  4. 熟女 まんこ

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/wrong-choice-of-fabric-means-wrong-outfit/ […]

Comments are closed.