SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zari The Boss Lady Kafa Na Fashion Katika Hili Vazi La Airport
Fashion Cop

Zari The Boss Lady Kafa Na Fashion Katika Hili Vazi La Airport 

Zari alitembelea Tanzania weekend iliyopita ambapo alikuwa ana fanya appearance kwenye party huko mjini Dar Es Salaam, well tuliona alienda kupokelewa airport na kilicho tuvuta kwake ni huu muonekano wake yaani mavazi aliyoyavaa.

Sote tunakubaliana kwamba ukiwa safarini unatakiwa kuvaa mavazi ambayo yapo comfortable ikiwa safari ni ndefu sana ni vyema kuvaa mavazi yasiyokubana pia.

Kwa Zari tumeona ni tofauti kwake alichagua kufa na fashion over comfort, maana alivaa gauni ambayo ni tight, akavaa fluffy coat ( na hii weather ya Dar hatujajua kama alifikiria hili), akavaa stocking’s na knee high boots (mmmh), alipendeza sana lakini hili vazi sio too much kwa kusafiri tu?

Tunaona angevaa hii dress na heels au raba nyeupe au nyeusi bila ya hio coat ingekuwa afadhali ikiwa yeye ni mtu maarufu na alikuwa anapokewa na waandishi wa habari angevaa tu vazi ambalo ni class, comfortable & cool

Anyways tuambie kwako umeonaje vazi hili yuko sawa au amezidisha?

Related posts