Juzi kulikuwa na Tuzo za Africa Africa Magic Viewer’s kulikua na mengi mno, na kama tunavyojua katika wengi kuna mengi na tunajua kuna ambao watakubali mavazi yako na kuna ambao hawato kubalina nayo, hizi ni tatu kali zilizo kuwa gumzo kidogo katika mitandao ya kijamii kutoka red carpet ya Tuzo hizo,
1) ni kutoka kwa mwanadada kutoka Nigeria bibi kehinde bankole ambae alifanya kucopy gauni lililo valiwa na Chanel iman kutoka kwa mbunifu zuhairmurad, Hii ilitrend kwa watu kusema alikosea na mpaka kufikia hatua ya kumtengenezea meme (kichekesho) kuhusu gauni hilo, wengi walisema kama uta copy kazi au vazi la mtu hakikisha unali copy vizuri kuliko yeye.
Chanel Iman 2015
kehinde bankole 2016
hii ndio meme (kichekesho) kuhusiana na gauni hilo
2) kutoka kwa Elizabeth Michael ambapo Nigeria fashion police walipo likosoa gauni la Lulu na kusema liko tacky, kama ambavyo wa Tanzania tulivyo huwaga hatukubali kushindwa ile page ikavamiwa na maneno makubwa na kuambiwa ni wabaguzi na hizi ni baadhi ya comments hizo
3)Bibi Sonia Lareinaa ambae ame copy gauni ya Beyonce huyu hakusemwa vibaya lakini pia ili trend wengi wali ipost.
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you will find 87474 more Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zilizo-trend-katika-tuzo-za-amvca-2016/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 1269 more Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zilizo-trend-katika-tuzo-za-amvca-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zilizo-trend-katika-tuzo-za-amvca-2016/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zilizo-trend-katika-tuzo-za-amvca-2016/ […]