SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Zuchu Anahitaji Stylist ASAP
Fashion Cop

Zuchu Anahitaji Stylist ASAP 

Kwa sasa mwanadada aneongelewa zaidi katika anga ya muziki ni Zuchu, amesainiwa hivi karibuni na WCB ikiwa chini ya mwanamuziki Diamond Platnumz. Zuchu anafanya vizuri na nyimbo zake lakini sehemu ambayo tunaona iko wrong ni upande wa fashion.

Anaonekana anapenda fashion na anapenda kujaribu lakini tatizo ni linakuja anajaribu in a wrong way. Tuongelee huu muonekano wake wa hivi karibuni ambapo alikuwa anajaribu “Athleisure Style”

Athleisure Ni Uvaaji wa kuchanganya nguo za kimichezo na nguo za kawaida.

Zuchu alionekana akiwa amevalia, blazer ya njano, shirt nyeupe, track pant nyeusi akimalizia na kicks, socks na miwani.

This outfit could be better kama angevaa kitu cha kubana chini au angetoa hio blazer, ameonekana nguo zimemvaa badala ya yeye kumvaa. The track suit ruined the outfit kwa sababu ni kubwa.

Lakini pia mtindo wa nywele, tayari mavazi yalishamvaa akaja kuongeza uzito na nywele kwa kuziachia na kufanya outfit izidi kuonekana nzito na mambo mengi yanaendelea. Anyways Afromates let us know your thoughts on this look.

Related posts