Its been a minute kuona watu wamevaa mini skirt suit ni kama watu wamezisahau hivi kwa sasa suit zinazotamba ni za suruali lakini tunaambiwa dare to be different na hiki ndicho ambacho wanamuziki Zuchu na Maua Sama wamefanya.
Wao wameonekana kutokutaka kuwa sawa na wengine na wakaamua kuturudisha katika Mini Skirt Suits, ambapo tulimuona Zuchu akiwa amevalia off white mini skirt suit na viatu vyekundu akiwa amebeba pochi nyekundu akamaliza na accessories ndogo ndogo huku Maua Sama yeye akiwa amevalia mini skirt suit nyekundu na top yenye weusi na weupe
Well you know we have to ask, who rocked it better, Zuchu au Maua Sama?
Related posts
2 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 58993 more Information to that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zuchu-vs-maua-sama-in-mini-skirt-suit/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 48317 additional Info on that Topic: afroswagga.com/fashion-cop/zuchu-vs-maua-sama-in-mini-skirt-suit/ […]