SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

GIVENCHY SHOW KATIKA NEWYORK FASHION WEEK
Habari

GIVENCHY SHOW KATIKA NEWYORK FASHION WEEK 

Nicki Minaj (32) tumemzoea ana penda kuvaa nguo za maungo wazi lakini hivi karibuni alibadilisha muonekano wake na kutaka kuitwa Onika Tanya Maraj ambalo ni jina lake la kuzaliwa nalo, bado hatujajua sababu maalumu labda ana kua au kabadilishwa na mpenzi wake wa sasa lakini Nicki Minaj mpya ni bora zaidi. kuthibitisha hili Onika Tanya Maraj ndio mwanamke alie vaa bora zaidi jana katika Tamasha la Givenchy ambalo lime fanyika katika wiki ya mitindo New York.

2C33B29600000578-0-image-m-125_1442020327361

wengine ambao pia wali kuwepo katika tamasha hilo ni Kim Kardashian na Mumewe Kanye West

2C33F22500000578-0-image-m-127_1442020531236

kim akiwa amevalia gauni jeusi linalo onyesha tumbo lake (mimba yake).

pia alikuwepo mwanadada Erykah Badu

2C33A2FF00000578-0-image-m-158_1442022298673

Ciara hakua nyuma kutuonyesha ambacho kabarikiwa na Mwenyezi Mungu… Mitindo.

2C345DF200000578-0-image-m-166_1442022414837

Jennifer Hudson

2C33E6DB00000578-0-image-m-153_1442022136998

Angel Haze

givenchy-nyfw-13

Hawa huwaga hawakosekani kwenye matamasha kama haya wale ambao hatuna uhakika nao.

2C33C68900000578-0-image-m-142_1442021086471 2C33AFA600000578-0-image-a-143_1442021095971

Margot Robbie kulia na Sky Ferreira kushoto.

Baadhi ya mavazi aliyo yabuni Givenchy.

2C34193200000578-0-image-a-171_1442022554674 2C3418A200000578-0-image-m-170_1442022545972

 

Related posts

5 Comments

 1. visit the site

  … [Trackback]

  […] Find More on that Topic: afroswagga.com/fashion-week/givenchy-show-katika-newyork-fashion-week/ […]

 2. wapjig.com

  … [Trackback]

  […] Find More here to that Topic: afroswagga.com/fashion-week/givenchy-show-katika-newyork-fashion-week/ […]

 3. Methandrostenolon Online Kaufen

  … [Trackback]

  […] Find More on on that Topic: afroswagga.com/fashion-week/givenchy-show-katika-newyork-fashion-week/ […]

 4. ufabtb

  … [Trackback]

  […] Read More here on that Topic: afroswagga.com/fashion-week/givenchy-show-katika-newyork-fashion-week/ […]

 5. Toy car pallets

  … [Trackback]

  […] Information on that Topic: afroswagga.com/fashion-week/givenchy-show-katika-newyork-fashion-week/ […]

Leave a Reply