SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

2016 IS A GOOD YEAR KWA MWANAMITINDO HERIETH PAUL
Habari

2016 IS A GOOD YEAR KWA MWANAMITINDO HERIETH PAUL 

Akiwa ndio kwanza ana umri wa miaka 21 mwanamitindo wa kimataifa mwenye asili ya ki- Tanzania Herieth Paul ame onekana kupata mafanikio makubwa, na 2016 umeonekana kuwa mwaka wa mafanikio kwake kwa namna mbali mbali kama kutokea katika magazeti makubwa kama Vogue, kutembea katika Runway ya kampuni kubwa ya nguo Balmain lakini kama hazitoshi hizi ni mbili kubwa kutoka kwake kabla ya kufunga mwaka 2016

1) Herieth Paul ataonekana katika runway ya Victoria Secret ambapo kutakua na ma-model 52 wakiwepo Irina Shayk na Bella Hadid wakiongozwa na Jasmine Tookes ambae atavaa Eddie Borgo-designed, $3 million Fantasy Bra, show hii ni kubwa mno si kila mtu hupata nafasi ya kutembea katika runway ya Victoria Secret, ifanyanyika December 5th 2016

unnamed

la Pili ni kwamba mwanamitindo huyu amekuwa featured na gazeti la mitindo la Glamour ataonekana katika Gazeti hilo litakalo toka pia December mwaka huu

Glamour USA - December 2016-43 Glamour USA - December 2016-44


Glamour USA December 2016www.glamour.com

 Photography: Billy Kidd
 Model: Herieth Paul
 Styling: Vanessa Chow
 Hair: Brian Buenaventura
 Make-Up: Souhi

Glamour USA - December 2016-45 Glamour USA - December 2016-46

Related posts