Prom ni dance ambayo watu hucheza baada ya kumaliza masomo yao kama ni chuo au sekondari, ambapo kwa huko Nchi za watu siku hii ina maana kubwa sana na hupewa kiki sana, baadhi wa dada hutoka na wavulana wao na wengi hujaribu kuwa tofauti. Ndipo huyu Jimelle Levon mvulana wa miaka 18 alipo amua kumbunia date wake wa siku hiyo gauni ambayo ina fanana na gauni iliyo buniwa na Vanessa Bell Calloway’s gold sequined katika movie iliyo fanyika mwaka 1988 “Coming to America,”
na ndio ubunifu ulio tisha na kuongelewa sana kwa mwaka huu
gauni lililo tumika katika movie
gauni alilo libuni Jimelle Levon
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/abuni-gauni-kama-la-coming-to-america-movie/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/abuni-gauni-kama-la-coming-to-america-movie/ […]
… [Trackback]
[…] Here you can find 16811 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/abuni-gauni-kama-la-coming-to-america-movie/ […]