SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Account Ya Instagram Ya Tiwa Savage Yaingia Katika 10 Bora Kama Vogue Fashion Creativity Accounts
Habari

Account Ya Instagram Ya Tiwa Savage Yaingia Katika 10 Bora Kama Vogue Fashion Creativity Accounts 

Gazeti la Vogue limekaa chini na kuangalia account za Instagram ambazo zina fashion creativity, tukiongelea Fashion Creativity maana yake ni kwamba how creative your fashion sense is, kama ambavyo tunajua Fashion is all about creativity wote mna weza kupewa mavazi sare na kila kitu sare lakini msivae same kila mtu kuna mtu atakae kunja mwingine aka kunjua, kuna mtu atakae ongezea accessories mwingine akapunguza ili mradi kila mtu ana ubunifu wake katika uvaaji.

Vogue wao wameangalia accounts za Instagram za watu wa Nchi mbalimbali Duniani na mwanamziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage ametajwa kuwepo katika list ya account hizo, Tiwa ametajwa na Vogue kuwa na Taste of Gucci logos na bold street wear.

Vogue wametaja Tisa wangine kutoka Nchi mbalimbali kama Japan, Thailand, Denmark, Russia, U.S. na Mexico

Ni lini wa kwetu atatajwa kwenye hii list? we are here thinking & sipping some tea. Kama ni kujifunza hapa ni pa kujifunza its not about dressing to kill real kama ukiangalia style za Tiwa she is a chameleon kuanzia kwenye nywele, mavazi na hata viatu she changes kutokana na mood yake, havai vazi moja  kama sisi tukiamua nguva ni nguva mwaka mzima. anajaribu kukaa kila sector na kuvaa kila mbunifu, her stylist ana fikiria outside the box, she is a daring person well at least she represent us as African but pia tungependa kuona wa Tanzania tunafikia huku.

 

December mwaka huu Tiwa Savage Alishinda Tuzo ya most stylish female Africa katika tuzo za Abryanz Style and Fashion Awards (ASFAs), ambapo our own Vanessa Mdee nae alikuwepo katika category hio

 

Related posts

6 Comments

  1. my explanation

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

  2. auto locksmith

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

  3. look at here

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

  4. Study in Africa

    … [Trackback]

    […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

  5. unicvv alternative

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

  6. click to read

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/account-ya-instagram-ya-tiwa-savage-yaingia-katika-10-bora-kama-vogue-fashion-creativity-accounts/ […]

Comments are closed.