Wiki Hii tarehe 7 na 8 kutakua na tamasha la mitindo liitwalo Africa Fashion Week London Mwaka huu hili tamasha litafanyika London’s Kensington Olympia.
Tamasha hili la siku mbili litawakutanisha pamoja Wahamasishaji wa Mitindo na Wataalam katika Sekta hio watokao sehemu mbalimbali za duniani kutoka Ulaya mpaka ma bara ya Africa.
Kazi kutoka kwa wabunifu kama AimeeKu na Thai designer Porjai kutoka Taiwan zinathibitisha kwamba mitindo ya kiafrika tayari imeleta msukumo mkubwa katika bara la Asia
Wabunifu 20 kutoka Afrika Kusini (South Africa) wataiwakilisha nchi yao na bara la Afrika kwa Ujumla. Tamasha hili limeanza toka Mwaka 2011 kwaio mwaka huu tunsheherekea Miaka Mitano Ya hili Tamasha Toka Lianze
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More here on that Topic: afroswagga.com/habari/africa-fashion-week-london-afwl-2015/ […]
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/habari/africa-fashion-week-london-afwl-2015/ […]