The week had alot going on, tumeona looks kutoka kwa watu maarufu ambayo tumeiona mtandaoni. Tunakuletea zile stories za fashion na urembo ambazo zili make headlines kwa namna moja au nyingine
Mwanamuziki Burna Boy kutoka Nigeria alivaa risqúe ‘crop top’ akiwa ana perform on stage

na imeonekana Nigerians wengi hawakuvutiwa na muonekano huu.


Well Burna si msanii wa kwanza wa kiume kuvaa crop top kuna kina Harry Styles, Will Smith na hata wa kwetu Young Killer alishawahi kuvaa
Mwanamuziki kutoka Tanzania, Zuchu ame-realease nyimbo mbili na katika listening party yake ambayo ilihudhuriwa na watu mbalimbali alionekana wakiwa amevali pant ya boxing ambayo iliacha wengi katika mshangao.

Mtangazaji Millard Ayo nae alionekana kuvutiwa na kivazi cha Mimi Mars, ambapo kama wengi tunajua Millard ni mtu fulani wa low key yeye kwenda hewani na kusifia hili vazi la Mimi Mars kwa kusema lilimdatisha iliwaacha wengi including sisi midomo wazi.
well let us know ni habari ipi kutoka week iliyopita imekugusa zaidi?
Related posts
4 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/afro-weekly-highlights/burna-boy-kuvaa-crop-top-zuchu-na-boxing-pants-and-more-fashion-news/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/afro-weekly-highlights/burna-boy-kuvaa-crop-top-zuchu-na-boxing-pants-and-more-fashion-news/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/afro-weekly-highlights/burna-boy-kuvaa-crop-top-zuchu-na-boxing-pants-and-more-fashion-news/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/afro-weekly-highlights/burna-boy-kuvaa-crop-top-zuchu-na-boxing-pants-and-more-fashion-news/ […]