Mwanamitindo wa kimataifa Ajak Deng ambae ana tokea South Sudan, lakini ana fanyia kazi zake Australia ametangaza kustaafu mitindo, Ajak Deng ni moja kati ya wanamitindo wakubwa weusi Duniani, kupitia ukurasa wake wa Instagram Ajak Deng alitoa tamko hilo kwa kuandika,
“Put your best foot forward.
I am happy to announce that I am officially done with the fashion industry, I will be moving back to Australia In order to live the life that I fully deserved. Which is real life. I can no longer deal with the fakes and the lies. My life is too short for this dramatic life. I am thankful and grateful for every sweet souls that I have crossed path with. 🏿️
🏿
🏿
🏿
🏿
🏿
🏿”
Lakini pia mwanamitindo huyu mwaka 2014 aliwahi kusema kwamba alifukuzwa kutoka katika kampuni kubwa ya mavazi ya Balmain kutokana na kuwa mweusi, Je Ubaguzi wa rangi ndio ulio mfanya aamue kustaafu?
wakati huo huo mwanamitindo mwingine Nykhor Paul nae kutokea South Sudan ameandika hisia zake kutokana na uamuzi wa Ajak Deng, huku akiwa ameweka picha ambayo amebeba mkoba wenye maneno yanayo someka “Black Models Matter” na kuandika maneno haya “I am sad to lose one of the most beautiful top models from my country because of these ignorant people in fashion who forgot what a fashion show consist of. We need variety in the runways and magazines because this shit is getting boring!!!They are breaking our backs with these racist shit! We came to the west to find peace and stability instead it’s been unbearable to just exist. Can we just be beautiful and have you accept that and be comfortable with that!!! We sure as hell don’t treat you this way when you come to Africa!! We black models have to stand together and support each other without fear of losing your job or being label as the big mouth angry black person, or lose the white privileges that you now think you have because we are all going through something but are not organized to speak in unison about these nonsense!!Kisses and smiles don’t mean anything, modeling is a job, a regular job! The only difference is the job requirements! This is an industry where we the blacks models are at the bottom levels as much as they shoot us everyday we will never reach the white models level. We are in a business were ignorants white people put themselves at the pedestal constantly because they think they are the most beautiful, the most intelligent, the most creative, the most heroic, the best at everything. We are the added on last minute options not a priority!! They have manage to destroy us and shred us to pieces with no one to speak us for us. This is fashion but it’s way deeper than just pretty girls walking down catwalks!!! This is extreme bullying!!! Illusions will get us nowhere! Stop hurting us in this way, God don’t like ugly!!!🏿
🏿
🏿
🏿
@ajak_deng
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/habari/ajak-deng-atangaza-kustaafu-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/ajak-deng-atangaza-kustaafu-mitindo/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/ajak-deng-atangaza-kustaafu-mitindo/ […]