SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AKIFANYA DIAMOND NDIO MNAONA? AHOJI MIRIAM ODEMBA
Habari

AKIFANYA DIAMOND NDIO MNAONA? AHOJI MIRIAM ODEMBA 

“Akifanya Diamond Platnumz ndio mnaona?” Ahoji Miriam Odemba

Miriam Odemba ni moja kati ya wanamitindo wachache wanaofanya vyema katika ngazi ya kimataifa. Ambaye ni wazi anapeperusha bendera ya Tanzania vyema.

Mapema katika mtandao wa Twitter kupitia ukurasa wake hakusita kuweka wazi hisia zake za malalamiko juu ya kile kinachoonekana serikali na wadau kuegemea upande mmoja zaidi. Miriam ameandika “Hata tukifanya kazi mnajifanya hamjaona awe Diamond ndio mnampa kiki oh my god tunahitaji pia kazi zetu zionekane kwani mnaboa sana”

index

Kauli hiyo ambayo ilichukua sura nyingine katika mtandao wa Twitter ambapo wapo waliokuwa wakisema anatafuta kiki, pia wapo waliosema sisi yeye aliyeandika na hata wale waliosema ni kweli kuna upendeleo upande mmoja.

Hata hivyo Miriam Odemba hakuishia hapo maana pia aliandika tena mambo mengine mengi hasa ya ndoto zake za kujenga shule ili aweze kusaidia wasichana walio wengi katika nchi ya Tanzania. Pia aliongelea kuhusu watu kupeana kazi wenyewe kwa wenyewe yaani udugulization

Story Credit @batro15

Related posts

5 Comments

  1. buy 4-aco-dmt online results,

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/akifanya-diamond-ndio-mnaona-ahoji-miriam-odemba/ […]

  2. ozempic dose for weight loss non diabetic​

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/akifanya-diamond-ndio-mnaona-ahoji-miriam-odemba/ […]

  3. turners

    … [Trackback]

    […] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/akifanya-diamond-ndio-mnaona-ahoji-miriam-odemba/ […]

  4. Medicijnen bestellen zonder recept bij Benu apotheek vervanger gevestigd in Haarlemmermeer

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/akifanya-diamond-ndio-mnaona-ahoji-miriam-odemba/ […]

  5. กาแล็กซี่คาสิโน

    … [Trackback]

    […] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/akifanya-diamond-ndio-mnaona-ahoji-miriam-odemba/ […]

Leave a Reply