SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

AL JUMAA HIJABISTA – NABALLAH CHI KUTOKA TRINIDAD
Habari

AL JUMAA HIJABISTA – NABALLAH CHI KUTOKA TRINIDAD 

Labda kwa sababu she is an island girl ndo maana ana penda rangi, tunajua wengi wanao tokea visiwani ni wapenzi wa rangi una weza kumuangalia Rihanna au celeb yoyote mwenye asili ya kisiwani ni mpenzi wa colors na hatusemi ni wote na wala hatusemi ambao hawatokei visiwani hawapendi rangi hapana, Naballah Chi ni style,fashion blogger lakini pia ni make up artist, tumependa jinsi anavyo style nguo zake na jinsi alivyo colorful kama wewe ni muislam una penda rangi lakini hujui jinsi ya kuji style Naballah is your girl

orange na animal print shoes & hijab

Pink & zambarau vibes una weza kuona jinsi alivyo zichanganya baby pink, pink iliyo koza kidogo,zambarau yaani ana jua kucheza na rangi kwa kweli

Orange na pink turban game yake is on point

Nyeupe & silver

Floral dress vs color fullhijab style

ni mpenzi wa orange inaonekana to her orange is a new black

accessorize game yake ipo on point, na kila siku her make up is on fleek we love us some Nabbalah blog yake ime fungwa ila una weza bonyeza hapa kuingia kwenye instagram yake moja kwa moja 

Related posts

2 Comments

  1. สเต็ปฟุตบอล

    … [Trackback]

    […] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/al-jumaa-hijabista-naballah-chi-kutoka-trinidad/ […]

  2. codeless automation testing tools

    … [Trackback]

    […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/al-jumaa-hijabista-naballah-chi-kutoka-trinidad/ […]

Leave a Reply