SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Ali Kiba Achagua Vazi La Ki’Oman Katika Harusi Yake
Habari

Ali Kiba Achagua Vazi La Ki’Oman Katika Harusi Yake 

Msanii wa muziki Ali Kiba amefunga ndoa leo asubuhi huko Mombasa,Kenya. Na hili ndilo vazi ambalo amechagua, tumejaribu kujua limetokea wapi, Ni vazi ambalo linavaliwa na watu wa Oman ambapo huwa wanavaa kanzu kama kawaida

Ali amevaa Kanzu nyeupe yenye urembo wa rangi ya gold, wakati juu amevaa dis dash nyeusi nayo ina urembo wa gold amemalizia muonekano wake na Cashmere  kerchief, Mila ya wa Oman au namna ambavyo huvaa mavazi yao kiunoni huwa wanafunga kitu kinaitwa khanjar iko kijichuma hapo kiunoni, mara nyingi wanavaa hivi katika hafla muhimu

Oman mtoto wa kiume ana kabidhiwa khanjar yake ya kwanza katika hafla muhimu kama birthday au eid celebration na kwa watoto huwa ndogo kulingana na anavyokuwa ndivyo anzidi kuongezewa ukubwa.

we love kiba outfit japo ingefanyika proper ingekuwa bora zaidi kama angetumia kanzu na icho cha kiunoni au angevaa mkanda mdogo wa chuma ili kuondoa kuonekana mambo mengi. He looks good though.

 

Related posts

1 Comment

  1. Dr Stacy Pineles and David T Bolno

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-achagua-vazi-la-kioman-katika-harusi-yake/ […]

Comments are closed.