Ni Muda mrefu sasa tumekuwa tukiziona Ak cap’s mitandaoni na kwa kuwajua wasanii wetu Tanzania tukajua Ali Kiba ndio amesha maliza pale
lakini kumbe kuna vitu vinakuja as wenzetu wana sema hustle in silent and let the success make the noise, Ali Kiba leo katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm ame sema ana kuja in fact ni kwamba zipo tayari bado kutoka jeans, miwani na vinywaji vya energy vyenye jina lake
na habari nzuri ni kwamba ana plan ya kufungua duka ili tuweze kuzipata bidhaa zake kwa urahisi
haya ni maneno ya Kiba
AK ni Brand ya Alikiba nashukuru imekuwa kubwa watu wanavaa lakini pia ipo na ya King Kiba nayo ni brand yangu na zipo official kabisa na kazi zitakapoanza watapata product zote’ – Alikiba
“Kuna Malengo makubwa sana tumeyaweka lakini siwezi kusema sasa hivi ila kuna Jeans Viatu na Glasses tayari zishatoka soon wataziona maana hizi zitakuwa za kwanza sababu tayari zishatoka na kuna energy drink” – Alikiba
Tunacho weza kusema ni kwamba jeans ni wazo zuri kwa sababu huwa zipo kila siku just make sure una toa rangi nzuri na kila size.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-jeans-zipo-njiani-kutoka/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on on that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-jeans-zipo-njiani-kutoka/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-jeans-zipo-njiani-kutoka/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-jeans-zipo-njiani-kutoka/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on to that Topic: afroswagga.com/habari/ali-kiba-jeans-zipo-njiani-kutoka/ […]