Bibi harusi huyu kutoka Nigeria ame break the interment baada ya kuamua kuto kupaka make up kwenye harusi yake, kwa sababu tu haipendi na mumewe alimpenda akiwa hana make up kwanini leo apake make up? well ni kitu ambacho si cha kushangaza japo ni uamuzi mgumu na ni rale kutokea, kwetu tulimuona Flaviana Matata lakini Flavy kidogo alipakwa vi eye shadow
huyu yupo plain kabisa
haya ni mahojiano yake na Naij.com
“I don’t like any form of inconvenience or discomfort on my face, my neck and entire body. It is not a church thing, it is just me and my personal decision,” she told Naij.com.
“When my husband first met me, I had not had my bath, but he saw and fell in love with my natural look. I was even tying nylon on my hair when he came to me on that fateful morning, yet he loved what he saw. So, who am I supposed to be making all that up for on my wedding day” said Umoren.
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/alinipenda-bila-make-up-kwanini-nipake-make-up-leo/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/alinipenda-bila-make-up-kwanini-nipake-make-up-leo/ […]
… [Trackback]
[…] Information on that Topic: afroswagga.com/habari/alinipenda-bila-make-up-kwanini-nipake-make-up-leo/ […]