SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

ANTONIO BENDERA DARASANI KUSOMEA MITINDO
Habari

ANTONIO BENDERA DARASANI KUSOMEA MITINDO 

Unaweza kumjua kutokana na filamu zake alizo cheza kama The Mask of Zorro na Donkey’s Christmas Shrektacular, lakini tulicho kuwa hatukijui wala kukifikiria ni kwamba Antonio Bendera ana penda mitindo pia, katika ukurasa wake wa instagram muigizaji antonio bendera (55) ameweka picha na kuweka maelezo haya ” juma la pili la masomo katika chuo cha Central St Martin limeanza, wakati mwingine ni magumu,inasisimua, makini na furaha wakati huo huo”

46795f32bc3af54fd4c3815c97a4995bb29944b0.png.cf

Msemaji wa chuo cha University of the Arts London Central Saint Martins amethibitisha kuwa bendera amejiandikisha katika shule yao, Antonio Bendera anachukua kozi fupi ya bespoke tailoring kwa wiki nne. “bendera ameanzia mwanzo na anajifunza misingi” alisema

inaonekana watu wengi wana vipaji vya ubunifu, letu jicho kuona nini kinafuata kutoka kwa Antonio Bendera

 

Related posts

4 Comments

 1. Watermelon Sherbert 1.5g High Roller Pre-Roll

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/antonio-bendera-darasani-kusomea-mitindo/ […]

 2. Residual income opportunities

  … [Trackback]

  […] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/antonio-bendera-darasani-kusomea-mitindo/ […]

 3. ecstasy drug images,

  … [Trackback]

  […] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/antonio-bendera-darasani-kusomea-mitindo/ […]

 4. mushroom dispensary denver​

  … [Trackback]

  […] Here you can find 13041 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/antonio-bendera-darasani-kusomea-mitindo/ […]

Leave a Reply