Bado hata hatuja maliza week ya kwanza ya 2017 na tumesha anza kuona huu mwaka utakuwa a very interesting year, kampuni ya ASOS wana jaribu kuleta chokers kwa ajili ya wavulana/wanaume, nipo hapa imagining baba au kaka kavaa hio choker (lol). tuna kubaliana haki sawa kwa wote na kama ambavyo wenyewe wana sema chokers hazija anza kuvaliwa leo wala jana na wanaume tofauti tu ni kwamba sasa hivi zime pewa jina mmmh.
ASOS wame tengeneza chokers za velvet zinazo kuja kwa rangi mbali mbali kama pink, emerald green na black.
lakini pia kuna suede wraparound design,
na hizi ndizo bei za choker hizo
Watu wengi wame onekana kulikataa hili swala wakiwa wana andika kwenye mitandao ya kijamii kuwaambia ASOS waache kutengeneza choker hizi
Haya kwa wanaume mtavaa for the seek of fashion? na wadada mta waacha bebe’s,kaka,wajomba na baba zenu wavae? tuambie kupitia
Instagram – afroswagga
Twitter – afroswaggatz
Facebook – afroswaggamag
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More to that Topic: afroswagga.com/habari/asos-wana-leta-chokers-za-wanaume/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 89713 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/asos-wana-leta-chokers-za-wanaume/ […]