SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Basata Vs Miss Tanzania Organization
Habari

Basata Vs Miss Tanzania Organization 

Vuta nikuvute ya nani atakaeenda kuwakilisha Nchi katika mashindano ya urembo Duniani inaendelea kuwa kubwa. Juzi Miss Tanzania Organization ilitoa taarifa kwamba Miss Tanzania Rose Manfere hatoweza kwenda kuiwakilisha Nchi katika mashindano hayo kutokana na utovu wa nidhamu, Rose alijibu kwa kusema hana hio taarifa na baraza la sanaa Tanzania (BASATA) pia walisema hawana taarifa na kutaka kikao na pande zote mbili kwaajili ya kutoa maamuzi.

Jana maamuzi yalitoka na Basata walisema hawajaridhishwa na sababu walizotoa Miss Tanzania Organization na muwakilishi aendelee kuwa Rosey Manfere

Imeonekana Miss Tanzania Organization nao hawajaridhishwa na maamuzi hayo ya baraza na kushikilia msimamo wao wa kumpeleka mshindi namba mbili katika mashindano hayo ya Miss World.

Kutokana na Barua ya Basata kutakua na kikao tena tarehe 23.7.2021 tunadhani tuendelee kusubiri kuona je ni nani ataenda kuwakilisha Nchi.

Kwa sasa tungesema wakae chini wa-discuss pande zote mbili na waache maneno ya mitandaoni ilikuepuka kujitia doa Miss World.

Related posts

5 Comments

 1. สล็อตออนไลน์

  … [Trackback]

  […] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/basata-vs-miss-tanzania-organization/ […]

 2. พนันบอล

  … [Trackback]

  […] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/basata-vs-miss-tanzania-organization/ […]

 3. Web Hosting

  … [Trackback]

  […] There you can find 99713 additional Info to that Topic: afroswagga.com/habari/basata-vs-miss-tanzania-organization/ […]

 4. lsm99

  … [Trackback]

  […] Find More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/basata-vs-miss-tanzania-organization/ […]

 5. magic mushroom for sale usa

  … [Trackback]

  […] There you will find 81331 more Information on that Topic: afroswagga.com/habari/basata-vs-miss-tanzania-organization/ […]

Comments are closed.