SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BASATA YAITAKA LINO NA KAMATI YA MISS TZ KUWEKA MAMBO SAWA
Habari

BASATA YAITAKA LINO NA KAMATI YA MISS TZ KUWEKA MAMBO SAWA 

“BASATA imeitaka kampuni ya LINO waandaaji wa Miss Tanzania kurudi mezani na kamati ya shindano kujadiliana namna bora ya kusonga mbele, Tumeiagiza LINO kuandaa MoU na kamati ya shindano la Miss Tanzania ili kuchora mipaka ya kiutendaji baina yao” Wamesema Basata.

Lino

Ikumbukwe kamati ya Miss Tanzania chini ya viongozi wake Mwenyekiti Juma Pinto, Jokate Mwengelo, na Gladys Shao ilitangaza maamuzi hayo ya kujitoa katika mashindano ya Miss Tanzania wiki kadhaa zilizopita na kusema wamefanya hivyo baada ya kupishana katika baadhi ya mambo ya kiutendaji ya kamati hiyo.

Related posts

Leave a Reply