SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BEEF YA KI-FASHION KATI YA RIHANNA NA KIM K
Habari

BEEF YA KI-FASHION KATI YA RIHANNA NA KIM K 

Rihanna na Kim Kardashian wame onekana kuwa na beef ya ki-fashion baada ya Kim K kuvaa nguo ambayo Rihanna alisha ivaa siku chache nyuma, Hii ime tokea baada ya shabiki wa Rihanna kupost picture ya Kim K akiwa ame valia vazi hilo na kuandika shade “very fenty situation” na Rihanna ku comment emoji ya kicheko katika picha hio,

kim

Kim K akaonekana kuto kupendezwa na swala hilo dakika chache baada ya tukio hilo alilo fanya Rihanna Kim alipost picture na kuandika shade pia ‘hair flip &  eye roll at the same damn time”

kim k

Team Riri nao wame hamua kurudisha mapigo kwa kutengeneza meme kuhusu situation hii na kuamua kumu expose Kim kwa mara kibao alizo mcopy Rihanna

Capture

you

JE NI VIBAYA MTU KUVAA KITU ALICHO VAA MWINGINE?

tupe maoni yako kupitia

Istagram – afroswagga

twitter – afroswaggatz

Facebook – afroswaggamag

Related posts