KI bongo bongo ni kawaida kwa kampuni fulani kutumia jina la mtu maarufu fulani kutengeneza hela ina wezekana pia hata wasimshirikishe katika suala hilo ila huko mtoni ni tofauti kidogo. Beyonce aipeleka mahakamani kampuni ya Texas company inayo uza bidhaa online kwa kutumia jina lake na kutumia baadhi ya mashairi ya nyimbo yake,

Screen-Shot-2016-04-05-at-7.44.04-PM

Beyonce awataka kampuni hio kuacha kutumia jina lake na pia kumlipa faida waliyo ipata kutokana na mauzo ya bidhaa hizo, tunajua Beyonce ana kampuni yake ya mavazi kwaio imeeleweka kwa nini ana taka watu wasitumie jina lake kwa kuwa itamuharibia katika biashara yake.

0405-feyonce-mug-feyonce-inc-4-718x500

Comments

comments