SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

BLACK PANTHER MOVIE IS ALL ABOUT AFRICAN CULTURE
Habari

BLACK PANTHER MOVIE IS ALL ABOUT AFRICAN CULTURE 

Movie ambayo ina subiriwa kwa wingi hasa sisi watu weusi iitwayo Black Panther ime tolewa trailer lake na ime zidi kutupa curiosity baada ya kuona mitindo ya  ndani ya hii movie na tuna sema its black & African, Movie itatoka mwakani February ambapo February ni mwezi wa watu weusi huko America.

Tulicho penda ni kwamba mitindo ya humu ina reflect waafrica, Kuna wamasai, kuna vitenge, kuna ambao wametoa midomo kama wa Ethiopia/ Sudan

Lip plates/Lip Disc ni urembo unao tengenezwa kutokana na udongo ambao unawekwa kwenye lip ya chini ya mdomo au lip zote mbili utamaduni huu upo sana Ethiopia na Sudan unaweza kuona picha ya kwanza ni jinsi ambavyo wa Ethiopia na Sudan wanavyo weka urembo huu

Wakati hapa chini ni scene ambayo inayo onekana katika movie hii excited huh?

Kuna Maasai people hawa wanatoka hapa hapa kwetu Tanzania na Kabila kubwa na lina heshimika hasa kutokana na kuendelea kudumisha mila zao popote walipo tunahisi kutokana na hili waandaaji wa movie hii wakaona walitumie pia

 

Ume mspot Lupita?

Wale Oyejide ni mbunifu kutoka Nigeria ndiye amebuni mavazi mengi kutoka katika hii Movie pia hakusahau kuweka Kitenge

Tunaisubiri kwa hamu kwa kweli kama hauto itazama kwa ajili ya kuijua historia ya Africa iangalie kwa ajili ya mitindo.

Tazama Trailer hapa

 

Related posts

2 Comments

  1. article source

    … [Trackback]

    […] There you will find 17600 more Information on that Topic: afroswagga.com/habari/black-panther-movie-is-all-about-african-culture/ […]

  2. วอลเปเปอร์ สายมู

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/black-panther-movie-is-all-about-african-culture/ […]

Leave a Reply