SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Blogger Feature: Styling Tips Kutoka Kwa Stylist Lavidoz
Habari

Blogger Feature: Styling Tips Kutoka Kwa Stylist Lavidoz 

Anaitwa Anna Enock wengi tunamjua kwa jina la Lavidoz, ni moja kati ya fashion influencers wa hapa kwetu Tanzania, Lavidoz amejipatia jina lake kutokana na kazi zake ni Style blogger katika blog yake inayoitwa Lavidozstyle.com, Owner of Lavidos store, Brand Influencer,  Image consultant na Freelance Fashion designer for Lavidos. Well tunaweza kusema a lady has it all linapo kuja swala la style na fashion. Leo tumefanya nae mahojiano ili kupata kumjua zaidi lakini pia kujifunza mambo mbali mbali kuhusu mitindo kutoka kwake

Afroswagga – Style ina maanisha nini kwako?

Lavidoz- Style to me is a from  expression of  who you are ,your interests your likes and it is a way of speaking to the world

Afroswagga -Tukimuona Lavidoz tunamuona mwanamke fashionable, ni vipi unaaita style yako na uliwezaje kutengeneza/kuipata style hii

Lavidoz- My style is classy ,elegant, modern ,i like to mix high end fashion pieces to my wardrobe to give it a cool  retro vibe into it .I don’t think niliitengeneza hii style , after trying different types of style i noticed what i m more comfortable in ,the colors that look good on me n that all i came about .

Afroswagga- a style tip ambayo you live by (unaitumia mara nyingi)

Lavidoz- Shoes ..Shoes ! Every girl needs good shoes .No great outfit without great shoes ..

 

 

Afroswagga -Kama Style Blogger unadhani watu wa depend kiasi gani katika trends zinazo ibuka mara kwa mara.

Lavidoz- its really hard  to keep up with all t the trends but not every trend is for everyone ,choose something that will look good on you and try it .

Afrowagga -Outfit ipi au vazi gani unadhani ni salama katika kila occasion (failsafe outfit that works in every occasion)

Lavidoz – LBD ..The little black  dress ,every woman needs one from meetings to cocktail parties .

Afroswagga -Watu wengi hasa maarufu huwa wana kosea mavazi kwenye red carpet una weza kuwapa tips chache za nini waangalie wakati wanachagua outfit kwa ajili ya redcarpet?

Lavidoz – Simplicity is the key when it comes to red carpet ,don’t try to wear everything from your closet .

Afroswagga – Upo kiasili (natural) kuanzia ngozi adi nywele unaweza kutuambia tips unazo tumia kufanya ngozi yako iwe nyororo lakini asili na tip yoyote muhimu kwa natural hair 

Lavidoz – Asante ..first  i only use baby products on my skin ,2 drinking lots of water and taking numerous amount of fruits  ,living a healthy lifestyle by working out at list twice a week ,but don’t forget to moisturize your skin ,this is my secret weapon fro glowing skin .My hair i just do the basics with it i wash and condition it often and i avoid over heating it .

Afroswagga – Tutajie fashion trend ambayo huwezi kuijaribu hata siku moja

Lavidoz- The only trend i would never try is if it shows parts of my body ,i wouldn’t wanna half naked ,if its not in my culture ,but i am very flexible in trying anything cool out there so long as it suits my personal style.

Afroswagga – Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kabati la mtu yoyote maarufu ungechagua kuchukua kabati la nani

Lavidoz – Monica Brown or Kourtney Kardashian

Kourteny Kardashian

Monica Brown

 Afroswagga –  Kama fashion ambassador unajisikiaje ukiona msanii mkubwa ame haribu kuvaa katika mavazi?

Lavidoz- Its always a big disappoint especially now that we have numerous numbers of stylists in the fashion industry in Tanzania

Afroswagga – Tip 3 muhimu za kumwambia msomaji ambazo anaweza kufanya aonekane stylish kila siku

Lavidoz-Confidence is the key to looking  good have the right attitude  or demeanor for the outfit don’t let the outfit wear you.

    .Its not about what you buy,its how you wear it ,its not about price tags

    .Invest more in vintage shopping /thrifting (mitumba) this will help u create your own unique style .

Well Asante Lavidoz kwa ushirikiano wako mna weza kutembelea blog yake kwa kubonyeza hapa Lazidozstyle.com, kumfollow instagram @lavidoz, kusoma interview nyingine kutoka week iliyopita bonyeza hapa

Related posts

2 Comments

  1. superslot

    … [Trackback]

    […] Read More here to that Topic: afroswagga.com/habari/blogger-feature-styling-tips-kutoka-kwa-stylist-lavidoz/ […]

  2. browse around this web-site

    … [Trackback]

    […] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/blogger-feature-styling-tips-kutoka-kwa-stylist-lavidoz/ […]

Leave a Reply