SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Bongo Movie Jifunzeni Hapa
Habari

Bongo Movie Jifunzeni Hapa 

Katika vitu ambavyo wengi wanachukia kuangalia filamu zetu za kitanzania ni uhalisia, uongo mwingi kuna mpaka sms za vichekesho zimetungwa kutokana na movie hizi za kiswahili, sisi kwetu tunachukia kuangalia movie’s hizi kutokana na mavazi wengi wao huwa wanavaa vitu haviendani na occasion, kazini mtu ana min skirt ya club, mavazi yapo yapo tu. Tunachojua kama ni kwa wenzetu story ya movie inaelekeza muigizaji ana pashwa avae nini na wanajitahidi kushirikisha wabunifu na stylist kufikia hata nusu ya lengo lao na ndio maana kuna movies unaweza kuona mtu kavalishwa vazi anaonaka kama paka ni kwa sababu story imetaka hivyo, long story short kwa wale ambao mnapenda mitindo mtakuwa mna mjua huyu dada Toke Makinwa ni Nigerian radio personality, television host, vlogger, na bestselling author hio according to Wikipedia wakiwa wamesahau ni slayer pia.  Juzi amepost hii picha ambayo page nyingi za fashion waliitumia kama wedding guest outfit ideas etc lakini sisi tulienda deep kusoma caption yake, hapa alikuwa set ya movie yake mpya

Hii movie itakuwa na scene ya harusi na hapo ndivyo jinsi Toke atakavyo attend hio harusi, that level of slayange ni kwa ajili ya movie tu na sio show off za instagram au red carpet,

make up on point, gere on point, dress on point unaweza kuhisi anaenda kwenye harusi kweli.

Ukiachana na yeye kuna wasanii mbali mbali ambao kashirikiana nao pia ambao nao wame pendeza mno kwenye hio movie inaonyesha Toke ameamua kushirikisha wabunifu, stylist na makeup artist wa uhakika kwenye hii movie

 

Bongo movie tunahitaji hiki kitu, story nzuri, quality nzuri ya movie na mpendeze jaribuni kushirikiana na watu wengine, stylist atatangaza jina lake kupitia movie yako, mbunifu aonyeshe uwezo wake apate wateja kupitia movie yako, make up artist ajitahidi kuweka kazi yake katika nafasi nzuri kupitia movie yako lakini pia movie yako itoke ikiwa na kitu cha uhakika tununue tuangalie basi tusipo p

Related posts

2 Comments

  1. molly drug wallpaper hd,

    … [Trackback]

    […] Here you can find 22766 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/bongo-movie-jifunzeni-hapa/ […]

  2. window repair

    … [Trackback]

    […] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/bongo-movie-jifunzeni-hapa/ […]

Leave a Reply