Katika research iliyo fanyika hivi karibuni kutoka kwa Luxury online retail platform Baghunter wamesema kama unafikiri kuwekeza kati ya dhahabu na Hermes handbas ni bora ukachagua Hermes handbags kwa sababu thamani na soko lake halishuki.
Tofauti na Dhahabu ina shuka pia soko lake huyumba Hermes Handbags haina hilo tatizo, kila mwaka hizi handbag hungezeka pato 14.2%
“In particular, the study displays how high-end, rare and sought-after luxury items such as Hermès Birkin handbags have never dropped in value, even during times of recession and economic difficulty,” Evelyn Fox, the founder of Baghunter, told Luxury Daily.
“There is a difference between luxury and ultra-luxury. While the luxury market suffers during worse economic times the ultra-luxury market is impervious to economic factors that can affect other industries such as high-street retail and stock markets,” she said
Pia amesema thamani ya hermes handbags zitapanda zaidi katika miaka 10 ijayo
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on to that Topic: afroswagga.com/habari/bora-kwekeza-kwenye-hermes-handbags-kuliko-dhahabu/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/bora-kwekeza-kwenye-hermes-handbags-kuliko-dhahabu/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/bora-kwekeza-kwenye-hermes-handbags-kuliko-dhahabu/ […]