Brandy, mwanamuziki na muigizaji ambae alijinyakulia umaarufu miaka hio kwa kibao chake the boy is mine (yeah feels old right?), jana katika kusheherekea siku ya wanawake Duniani blog kubwa kabisa ya mitindo ilikaa chini na mwanamuziki huyu na kuongelea maswala mbali mbali ikiwemo motherhood,women hood na definition ya strong women na haya ndio yalikuwa mazungumzo yao na hili ni jibu lake alipo ulizwa nini maana ya mwanamke jasiri [The Definition of a Strong Woman is] when you can hold your ground and you can be firm about your life and the things that you want and the things that you deserve; [It’s when you know] what you’re worth and how you value yourself. Having that kind of poise and having that kind of strength. I’m so glad that I’ve been able to find my own strength because it hasn’t always been like this. I’m thankful that I’m very very strong. I wouldn’t lose that for the world.”
Lakini mazungumzo haya yaliendana na picha zilizopo katika gazeti hilo na tuna weza kusema brandy looks so good in this photo shoot
nywele zake zipo so on point (her natural hair we guess) kwa wenye natural hair hii ina itwa trist out, tumependa aluvyo accessorize nywele zake
her outfits pia ziko on point but hizo leather belts tume zipenda the most na zinatoka kwa Shirt, Tee, & Belt: The Kooples @thekooplesofficial
Shirt, Tee, & Belt: The Kooples @thekooplesofficial
Leather Trouser: Angelys Balek @angelysbalekny
Leather Jacket: Iijin @iijinusa
Shoes: Teatum Jones @teatumjones
mmeona hio hereni jinsi ilivyo weka tofauti katika uso wake well zinatoka kwa Earrings: Sutra Jewels @sutrajewels
her make up is so natural na ipo on point we love every thing katika hii photo shoot
unaweza kusoma interview kwa kubonyeza hapa – interview hapa
wasiliana nasi kupitia
Instagram – afroswagga
Facebook – afroswaggamag
Twitter afroswaggatz
Related posts
4 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/brandy-katika-jarida-la-fashion-bomb-daily/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on on that Topic: afroswagga.com/habari/brandy-katika-jarida-la-fashion-bomb-daily/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/brandy-katika-jarida-la-fashion-bomb-daily/ […]
… [Trackback]
[…] Find More on that Topic: afroswagga.com/habari/brandy-katika-jarida-la-fashion-bomb-daily/ […]