Caitlyn Jenner au Bruce Jenner baba wa super model Kendall Jenner na Mjasiriamali Kylie Jenner pia ni baba wa kambo wa Kim,Kourtney, Khloe na Robert Kardashian ambae alia mua kujibadilisha jinsia na kuwa mwanamke ana kuja na hii mpya mwaka huu, Caitlyn ndio jina alilo lichagua baada ya kujigeuza jinsia ame sema haja ridhishwa na umaarufu wake wa mwaka 2016, kwaio ameamua 2017 ku pose bila nguo kama mwanae Kim Kardashian alivyo pose katika gazeti la paper magazine,
Mtu wa karivu wa Caitlyn ame sema “Cait wants to do something along the lines of what Kim did on the cover of Paper magazine. No one has worked harder than Cait to get the body she wants and, naturally, she wants to show it off,”
“She will also use the explosive cover to help her return to TV in 2017 after her solo show was cancelled,”.
“Cait has learned from that experience and wants the new show to be more silly and fun like the Kardashian show. It will focus less on her being a transsexual and more on being a single girl that wants to date and have a great time.”
Kwa wale ambao mlikuwa mna jiuliza kama ame badilisha kabisa mpaka viungo vyake nyeti mwaka huu ndio tutajua kama ame badilika kabisa au lah! well Caitlyn aren’t you too old for this? Tuseme nini expect any thing from The Kardashian for the sake of Famous
Related posts
2 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/caitly-jenner-aja-na-mpya-hii-2017/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 85430 more Info to that Topic: afroswagga.com/habari/caitly-jenner-aja-na-mpya-hii-2017/ […]