SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

CAITLYN JENNER APATA DILI NA LIPSTIC ZA MAC
Habari

CAITLYN JENNER APATA DILI NA LIPSTIC ZA MAC 

Caitlyn Jenner ambae mwanzo alijulikana kwa jina la Bruce Jenner amepata dili la kutoa Lipstick na kampuni ya Mac, Lipstick hio ina kwenda kwa jina “final free” likisimama kama Caitly kupata uhuru wake wa kutoka kwa mwanaume hadi mwanamke, #MACCaitlynJenner “collection ina lipstick moja tu ambayo ni rangi ya rosy nude ambayo itaachiwa mwezi wa nne tarehe 7 mwaka huu.

MTM2ODU4MDY4MjcyMDMxMzI3 MTM2ODU4MTAwNDg0Mjg2MDQ5

Related posts

Leave a Reply