Hakika msimu huu mpya wa CokeStuido umeendelea kutuopa furaha, muziki mzuri na vionjo vya aina yake katika mavazi ya wasanii. Wiki hii tulikuwa na Nandy (TZ), Betty G (ET), Khaligraph Jones (KE), Bruce Melodie (RW), Ykee Benda (UG), MR. Bow (MZ), na Jah Prayzah (ZIM). Wasanii wote hakika walivalia na kupendeza huku coordination ya rangi za nguo ikiwa bold na yenye kuvutia.
Well our Arican princesses Nandy na Betty G, katika mavazi yao accessories ziliweza kung’arisha mionekano yao.The local Maasai pieces were fab and the good part is they are easy to shop and zinaweza kuwa paired na outfits mbalimbali.
Pia we tulipenda jinsi Nandy na BettG gave us a modern day African woman style and fashion taste with bright colours and prints , Nandy, golden yellow na white toka kwa Betty G
Nandy
Betty G
With the guys, Khaligraph Jones na Bruce Melodie, t shirt na jeans as an essential ilikuwa paired na a leather cap for Khali, cool black shades for Bruce na sneakers kali kwa chini. The all white combo ya Bruce Melodie with the white and red patterns bomber jacket was well styled.
Collabo ya YKee Benda, Mr. Bow na Jah Prayzah ilikuwa ya kuvutia sana pia. Hapa, both YKee Benda na Mr, Bow walitupa modern African looks, pairing the shirts with some cool jeans, kofia na sneakers. Jah Prayzah looked casual but viatu vyake, viliung’arisha muonekano wake.
With these performances hakika tumediscover vile twaweza mix na kustyle our African prints na accessories na our daily modern wears kama jeans, heels, tshirts na bado mtu akapendeza na tukatokeleza kitofauti.
unaweza kuangalia hapa performance zao
https://youtu.be/ryMewmCDhps
Written By @willibard_jr
Related posts
6 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]
… [Trackback]
[…] There you will find 30743 more Info on that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Information here to that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]
… [Trackback]
[…] Information to that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]
… [Trackback]
[…] Find More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/coke-studio-africa-fashion-review-episode-3/ […]