Met Gala ni hutambulika kama fashionable event of the year, ni event ambayo hufanyika kila mwaka kwa ajili ya harambee ambayo zinakusanywa fedha kwa ajili ya kusaidia  makumbusho ya Metropolitan Arts costume Institute huko New York. Kila mwaka kunakuwa na Theme ya mavazi ambapo wahudhuriaji inabidi waifuate.

Mwaka huu ilipangwa kufanyika May 4 ambapo theme ya mwaka huu ilikuwa “About Time: Fashion and Duration”. Lakini kutokana na ugonjwa wa “Corona” Hafla hii imepelekwa mbele kwa muda usiojulikana.

Anna Wintour, the chair of the Met Gala ametangaza kwamba hafla hii imepelekwa mbele lakini hakusema ni lini itafanyika na hii imetokana na ugonjwa huu wa “Corona”

kupitia website ya vogue Anna Alisema ” As for the gala, it will not be held on its usual date, the first Monday in May, due to the “unavoidable and responsible decision by the Metropolitan Museum to close its doors,”

ingia hapa kusoma zaidi This Year’s Met Gala Has Been Postponed