Katika Dunia hii ni vyema kujaribu kila unacho weza na kufukuzia ndoto zako, ina wezekana ukawa model lakini pia ukawa designer. Wabunifu wengi walianza kama ma model na wame dumu mpaka sasa. hata Martin Kadinda pia alianzia huko, ni vizuri kuanza kwa kuisoma Industry ina endaje na wewe ndio uingie. Katika kurasa yake ya Instagram mwanamitindo Daxx aliweka logo ambayo itakayo kuwa ina tumika katika mavazi yake pia alitolea ufafanuzi mfupi katika chat yetu sisi na yeye
Introducing the new kid on the planet What am doing now ,is what I worked for Remember to change your dream to the reality Dream it and work on it.. Something fresh is coming soon!. I am the Dreamer |Creator|Believer My Fans,My Friends,and Everyone Hope you READY!. @kebby_designs you are the best👊 ____________<<<<<<>>>>>>>>>____________ #FreshAllDay #MensWear #MensFashion #DaxxCruzWear #DaxxCruzTouch #LifeStyle #DreamWork #FashionLife #TheMovement #MrFresh
na huu ndio Ulikua ufafanuzi wake kuhusu clothing line yake hio
“am introducing my clothing line with my logo on it, so hio ni logo ya my cloth line will be coming out soon dealing with men wear”
hongera Daxx na tunasubiri kuona kama yaliyomo yamo.
Related posts
5 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Read More Info here to that Topic: afroswagga.com/habari/daxx_cruz-aja-na-mavazi-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Find More to that Topic: afroswagga.com/habari/daxx_cruz-aja-na-mavazi-yake/ […]
… [Trackback]
[…] There you can find 37640 additional Information to that Topic: afroswagga.com/habari/daxx_cruz-aja-na-mavazi-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/habari/daxx_cruz-aja-na-mavazi-yake/ […]
… [Trackback]
[…] Read More on that Topic: afroswagga.com/habari/daxx_cruz-aja-na-mavazi-yake/ […]