Kampuni kubwa ya mavazi Dolce & Gabbana ime onekana kukumbwa na msuko suko kwa kutumia neno hili kama slogan ya kiatu chao, kwa sasa graphic fashion ina onekana kurudi na kila mbunifu ana tafuta namna ya kuweza kutumia maneno au michoro katika ubunifu wake,
Dolce & Gabbana nao wakaona kwanini wapitwe wakaamua ku introduce sneakers zenye maandishi yanayo someka Thin & Beautiful
hii ime onekana kuwa kera wengi katika social media, kwa sababu kipindi tulichopo tuna hamasisha watu wote kujipenda uwe mwembamba, mnene we are all beautiful na kampuni kubwa kama kama hio kutumia hio slogan ina rudisha tena watu nyuma walipo toka kwamba watu wembamba tu ni wazuri.
Wengi walichukua muda wao kuandika hisia zao kuhusu viatu hivyo baadhi ya maoni ya watu ni haya
Stefano Gabbana nae alichukua muda wake kujibu mashambulizi
Well Stefano una kimbiza wateja watu wana haki ya kutoa mawazo yao right?
Related posts
3 Comments
Leave a Reply Cancel reply
You must be logged in to post a comment.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Here you can find 56493 more Information to that Topic: afroswagga.com/habari/dolce-gabbana-wame-waudhi-watu-na-hii-slogan/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Information here on that Topic: afroswagga.com/habari/dolce-gabbana-wame-waudhi-watu-na-hii-slogan/ […]
… [Trackback]
[…] Info on that Topic: afroswagga.com/habari/dolce-gabbana-wame-waudhi-watu-na-hii-slogan/ […]